Breaking

Ijumaa, 1 Februari 2019

Video | Beda Andrew – Mbali Sana

Kwa mara nyingine tena tumekusogezea video ya wimbo mpya uitwao Mbali Sana kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kama Beda Andrew.
Video hii imeongozwa na director Sylvester na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Juma Mvungi.
Mbali Sana ni wimbo wa kukiri na shukrani kwa Bwana wetu Yesu Kristo ambaye kwa hakika ametutoa mbali sana kule ambapo tulikuwa ni watumwa wa shetani, kule mbali ambapo tulikuwa tunaseka na sasa ametuheshimisha na kutufanya kuwa wapya.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee, Amen

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Beda Andrew kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 714 140 989
Facebook: Beda Andrew
Instagram: @bedaandrew
Youtube: Beda Andrew

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni