Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza tumekusogezea video ya wimbo uitwao Subiri kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Lydia Ndwiga.
Subiri ni reggae cover version ya wimbo uitwao You Waited uliowahi kuimbwa na mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini marekani Travis Greene.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika kuwa itakubariki, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni