Kutoka jijini Mwanza kwa mara katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kama Elia Mtishibi ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Manukato hii ikiwa ni marudio ya wimbo uliowahi kuimbwa na mwimbaji mkongwe Fanuel Sedekia ambaye kwa sasa ni marehemu.
“Hey watu wa Mungu… Mbele yenu ni mimi Elia Mtishibi nimewaletea cover ya wimbo wa Manukato ulioandikwa na marehemu Fanuel Sedekia … Wimbo huu umekua ni wenye nguvu na baraka kwangu hadi ukanisukuma kuurudia kwa nia ya kumuenzi kaka Fanuel … Naomba nikukaribishe kuutazama kisha nipe maoni yako…” – alisema Elia Mtishi
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki kila wakati, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Elia Mtishibi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 765 867 784
Facebook: Daudi Mwanisenga
Instagram: @eliamtishibiofficial
Youtube: Elia Mtishibi
Simu/WhatsApp: +255 765 867 784
Facebook: Daudi Mwanisenga
Instagram: @eliamtishibiofficial
Youtube: Elia Mtishibi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni