Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza leo tumeusogeza kwako wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Siku Njema kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Baraka Swilla.
Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Elias Sagiro kutoka ndani ya studio za Tyros Record.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki, Ameen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni