Breaking

Jumatatu, 25 Februari 2019

Video | Ruth Matete – Damu Yako


Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunaitambulisha kwako video mpya inayokwenda kwa jina la Damu Yako kutoka kwa mwimbaji maarufu anayefahamika kama Ruth Matete.

“Kuna Nguvu katika damu ya Yesu Kristo, Kuna nguvu damuni mwako..” – Ruth Matete
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa, Amen.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni