Breaking

Jumatatu, 25 Februari 2019

Audio | Mary Kahimba – Sina Mashaka


Kutoka jijini Mwanza leo tunautambulisha kwako wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Sina Mashaka kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mary Kahimba.

Sina Mashaka ni wimbo wa kukiri kuwa Yesu ni Bwana na mwokozi wa maisha yetu, Usiwe na shaka naye kwa maana yeye ana nguvu za kushinda kila jaribu unalopitia weka imani yako kwake naye atakutendea yale yaliyo makuu katika maisha yako.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.


Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Mary Kahimba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 744 123 730
Facebook: Mary Kahimba
Instagram: @marykahimba
Youtube: Mary Kahimba

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni