Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 Hellen Sogia ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Wewe ni Mungu. Hellen Sogia ni moja kati ya waimbaji wa nyimbo za Injili wanaoendelea kufanya vizuri kila iitwapo leo kutokana na kazi anazoendelea kuziachilia ambazo mbali na kubeba ujumbe wa Ki-Mungu lakini pia zina nguvu ya Roho Mtakatifu
Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Sogia Production chini ya mikono ya prodyuza Johnson Luzzah.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri wa kuabudu ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi Hellen Sogia kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 351 048, +255 716 711 867
Facebook: Hellen Sogia
Instagram: @hellensogia
Youtube: Hellen Sogia
Simu/WhatsApp: +255 753 351 048, +255 716 711 867
Facebook: Hellen Sogia
Instagram: @hellensogia
Youtube: Hellen Sogia
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni