Mwimbaji na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Norway maarufu kama Wabshadraambaye kwasasa akifahamika kwa jina la Shad B ameachia video ya wimbo wake iitwayo Ninadeka wiki chache zilizopita.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki kila wakati, Amen
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Waba Shadra kupitia:
Simu/WhatsApp: +47 462 69 248
Facebook: Waba Shadra
Instagram: @wabashadra
Youtube: Waba Media Pro
Simu/WhatsApp: +47 462 69 248
Facebook: Waba Shadra
Instagram: @wabashadra
Youtube: Waba Media Pro
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni