Breaking

Jumapili, 16 Desemba 2018

Video | YZ Manamba - Nibariki


Kwa mara nyingine mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania maarufu kama YZ Manamba ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Nibariki.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki, Ameen.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni