Kutoka mjini Nachingwea mkoani Lindi kwa mara ya nyingine tena tumekusogezea wimbo uitwao Yesu Anaweza kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kama Martin Nindi, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Megaton Music chini ya mikono ya prodyuza Spiz.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni