Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya nyingine tena tumekusogezea wimbo mzuri uitwao Naona Raha kutoka kwa mtumishi wa Mungu Baraka Mwampamba maarufu kama Mr. BM, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za MR. BM Records.
“Naona Raha ni wimbo unaomtukuza Mungu kwa sifa na shukrani kwa matendo makuu ambayo Mungu ameonekana kwa ukuu wake – alisema Mr. BM
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakwenda kukubariki kwa namna ya kipekee, Ameen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni