Breaking

Jumatano, 19 Desemba 2018

Audio | Kelvin Onuku - You Are Good


Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo uitwao  You are Good kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Kelvin Onuku.
You Are Good ni wimbo wa sifa unaomtukuza Mungu kwa wema na fadhili zake kuu kwa wanadamu.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utakubariki kila wakati, Amen.
https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/12/Kelvin-Onuku-You-Are-Good.mp3

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni