Breaking

Jumatano, 9 Januari 2019

Video | Rebekah Dawn – Naendelea Mbele (I’m Moving Forward)

Kutoka nchini Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo unaoitwa Naendelea Mbele (I’m Moving Forward) kutoka kwa moja kati ya waimbaji wanaofanya vizuri nchini humo maarufu kama Rebekah Dawn.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakugusa na kukubariki, Amen.


Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Rebekah Dawn kupitia
Facebook: Rebekah Dawn
Instagram: @beka_dawn
Twitter: @bekadawn
YouTube: Rebekah Dawn

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni