Breaking

Jumatano, 9 Januari 2019

Video | Maggie Muliri – Muachie

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam maarufu kama Maggie Muliri ameachia video ya wimbo
wake mpya unaokwenda kwa jina la Muachie, Video hii ikiwa imeongozwa na director Debro Gabriel kutoka studio za Eagle View Pro.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Ameen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Maggie Muliri kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 658 739 703
Facebook: Maguy Muliri
Instagram: @maggie_muliri
Youtube: Maggie Muliri

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni