Breaking

Jumatano, 9 Januari 2019

Video | Kidum – Nipe Nguvu

Kutoka nchini Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo mmoja mzuri sana uitwao Nipe Nguvu kutoka kwa mwanamuziki mkongwe Afrika Mashariki na dunia kwa ujumla maarufu kama Kidum.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukuinua kila wakati, Ameen.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni