Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea wimbo mpya uitwao Different Case kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili maarufu kama Mike Abdul.
Different Case ni wimbo wa sifa uliojaa shukrani kwa yale Mungu ametutendea katika maisha yetu, Kila mmoja ana mapito yake lakini katika hayo yote bado Mungu anashughulika na tatizo la kila mmoja kwa namna yake. Hivyo yatupasa kurudishia shukrani zetu kwa aliye mkuu kuliko vyote.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.
Social Media:
Instagram: @mikeabdulnaija
Twitter: @mikeabdulnaija
YouTube: Mike Abdul
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni