Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza lebo ya EMG Records inamtambulisha kwako mwimbaji mpya kutoka katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Joachim Chany na hii ni video yake ya kwanza kuachia katika mwaka 2019 inayokwenda kwa jina la Ushuhuda.
Video hii imeongozwa na director Dee Moolah, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Oggy Keyz ndani ya studio za EMG Records.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakuabriki, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Joachim Chany kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 082 013
Facebook: Joachim Chany
Instagram: @joachimchany
Youtube: joachim chany
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni