Baada ya kufanya vizuri mwaka 2018 mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Juma Kyando maarufu kama Kibonge wa Yesu kwa mara nyingine tena ameachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la Sitoki.
Video hii imeongozwa na director NAMENCE kutoka Wende studio, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Mefo chini ya mikono ya prodyuza Kingson.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa kila wakati, Amen
Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Kibonge wa Yesu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 448 206
Facebook: Juma Kyando(Kibonge wa Yesu)
Instagram: @kibongewaYesu_official
Youtube: Kibonge wa Yesu official
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni