Muigizaji maarufu kutoka nchini Nigeria Prince Oluebube Eke maarufu kama Prince Eke ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Your Grace.
Maneno yaliyotumika katika wimbo huu ni yenye nguvu yakieleza juu ya ukamilifu na Utukufu wa Mungu, Hii ni zawadi yenye nguvu kwa wanadamu, Tunamshukuru, Mungu awe Utukufu, wimbo huu utakupa baraka.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni