Breaking

Jumatatu, 14 Januari 2019

Video | Gospel kid – Nakuabudu

Kutoka kwa mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Abuu Levy maarufu kama Gospel Kid ambaye hivi sasa ametuletea video ya wimbo wake mpya uitwao Nakuabudu, Video ikiwa imeongozwa na director George Gasto kutoka studio za Great Quality.

“Hii nyimbo nimeimba mwaka 2012 wakati sikuwa na amani kabisa lakini si mimi tuu hata taifa pia lilikuwa katika marumbano ya kisiasa, nachotaka kusema ni kwamba hakuna mtu anayeweza kuleta amani zaidi ya Mungu hivyo basi nawakumbusha wajibu wenu kumuabudu Mungu maana bila yeye sisi ni Bure.” – Gospel Kid
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa, Amen

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na Gospel Kid kupitia:-
Simu/WhatsApp: +255 754 742 181 au +255 654 485 555
Facebook: Gospel Kid
Instagram: @gospelkid_tz

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni