Breaking

Jumanne, 15 Januari 2019

Video | Fabrice J Prince - Bila wewe

Image result for fabrice j prince bila wewe
Video kali kabisa kutoka kwake Fabrice J Prince unaokwenda kwa jina la Bila wewe, nyimbo hii inaelezea kuhusu huyu Mungu jinsi anavyotutetea katika mambo mbali mbali na mengi anatupigania kwa kweli kama siyo Mungu sijui tungekua wapi.


Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukuinua kila siku, Amen.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni