Kutoka nchini Ghana leo tumekusogezea wimbo mzuri uitwao Edzebubu(He is Worthy of Honour) kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Morris Makafui.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki, Amen.
Social Media:
Facebook: Morris Makafui
Instagram: @morrismakafui
Twitter: @morrismakafui
Facebook: Morris Makafui
Instagram: @morrismakafui
Twitter: @morrismakafui
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni