Tangu utoto wangu na sasa ni mtu mzima, nime
kujua Mungu, hujawai sema uongo, ahadi zako ni kweli na amina, ukisema unatenda.
Mungu sifa yako ni ukweli.
Umesema yasiyo wezekana kwa wanadamu kwako yanawezekana, Mimi nakutaka wewe tu.
Join us in prayer and fasting
Prayer movement 2019. Mungu aingilie kati kesi zetu
Ijumaa, 11 Januari 2019
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni