Breaking

Jumamosi, 12 Januari 2019

Video | Philip Mutunga Feat. Beatrice Kitauli – Msamaha ni Dawa

Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza tumekusogezea video ya wimbo uitwao Msamaha ni Dawa kutoka kwa mwimbaji Philip Mutunga akiwa amemshirikisha mwimbaji Beatrice Kitauli kutoka Tanzania.
MSAMAHA NI DAWA Aliyekukosea akijua umemsamehe na roho yake inapona anakuwa na amani rohoni. Kwa hiyo samehe uwaponye wengine Na wewe ukisamehe roho yako inapona, Unakuwa na amani rohoni.
Kwa hiyo samehe ili ujiponye mwenyewe.. Msamaha ni dawa…. Soma Mwanzo 40 na kuendelea uone vile Yusufu alipowasamehe ndugu zake japo walimfanyia unyama mwingi… Baba yake alipojua kwamba mwanaye amewasamehe na roho yake ilipona… Soma pia Mathayo :14-15 Marko 11: 25-2 (samehe ili usamehewe na Baba)
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video njema iliyobeba ujumbe mzito sana na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kilasiku utakapokuwa unasikiliza, #Msamahanidawa

VIDEO

Video: Philip Mutunga Feat. Beatrice Kitauli – Msamaha ni Dawa

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Philip Mutunga kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 708 277975
Facebook: Philip Mutunga
Instagram: @philipmutunga

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni