Breaking

Ijumaa, 11 Januari 2019

AFLEWO 2019

KARIBU KUJIUNGA NA KWAYA YA AFLEWO 2019

Usaili utafanyika kanisa la Divine Grace lililopo Mbezi Tanki Bovu, ndani ya Future Resort.

Hii ni kwa waimbaji tu, walio okoka na wana ushirika wa kanisa lolote.

#AFLEWOTz2019
#unitinginworship😇😍

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni