Breaking

Jumatano, 16 Januari 2019

Audio | Derick Ndonge – Wewe ni Mungu

Kutoka jijini Mwanza Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tumekusogezea wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Wewe ni Mungu kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Derick Ndonge.

“Wewe ni Mungu, Mungu wetu ni Muweza na hajawahi kushindwa, Nini kimekushinda kwa maisha yako? Mwambie asiye shindwa 2019 Baba Simama unitetee pale nilipoanguka 2018 nikashindwa ninaomba simama unitetee.. Atasimama maana hua hashindwi, Hakika hautabaki kama jana bali leo itakua tofautI kabisa kama ukiendelea kuimba wimbo huu na kuufanua sehemu ya maisha yako.” – Derick Ndonge
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika utakubariki na kukuinua kila siku utakapokuwa unasikiliza, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Derick Ndonge kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 661 611
Facebook: Derick Ndonge
Instagram: @derickndonge_official

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni