Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea wimbo mzuri wa sifa uitwao I Will Worship kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Khati.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni