Ni kongongamano kubwa la
kutumia alicho sema Mungu,Mchungaji kiongozi wa kanisa la Kipentekoste T.A.G UBUNGO Kibangu Makoka, Yohana Lusekelo Anawakaribisha watu wote kwenye kongamano la maombezi na kutimia katika yale aliyosema Mungu waleteni wenye shida mbali mbali wenye magonjwa wapate kuombewa watu wadini zote makabila yote mnakaribishwa kwaya mbali mbali na waimbaji binafsi watakuwepo, Hayo yote ni yatafanyika TAR.9.01.Mpaka TAR.13.01.2019
kwa mawasiliano: 0675 869055
WATU WOTE MNAKARIBISHWA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni