Breaking

Ijumaa, 28 Desemba 2018

Huduma ya maana inakuletea

Ni Huduma ya maana na kamati ya maandalizi inafuraha kukuletea
Maombi maalum ya kufunga mwaka 2019 na Mwl. CHRISTOPHER MWAKASEGE  pale Uwanja wa Reli Arusha Mjini waleteni wote wenye shida mbali mbali na wenye kulemewa na mizigo wapate kupokea uponyaji wa Yesu kristo katika Viwanja hivyo tareh 5-6 muda ni sa 8 mchana hadi sa12 jioni Wote mnakaribishwa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni