Breaking

Jumamosi, 29 Desemba 2018

2018 MWAKA WA KUMALIZA MIAKA 10 YA MAVUNO T.A.G

Makanisa ya T.A.G nchini yaelekea kufunga mwaka kwa kishindo
na kwa mavuno mengi kupitia kauli mbiu yao ya MIAKA 10 YA MAVUNO TANZANIA KWA YESU. Lakini ishu ya kuvuna si ya viongozi pekee, bali la kila mkristo aliyejiwekea lengo la kuvuna. Wachungaji wana kazi ya kuchunga. Kondoo huzaa. Kondoo ni wakristo. Wakristo wa kweli wana ushuhuda. Na ushuhuda wa kweli ni kuwaleta watu kwa Yesu. Wachungaji wanachunga, nk.
Haleluyaaa!!!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni