Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mzuri wa sifa
unaokwenda kwa jina la My Praise kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili
anayefahamika kwa jina la Xano.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wenye habari njema na hakika utakubariki, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni