Muziki huu umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za OY Productions chini ya mikono O.Y huku Bass ikiwa imepigwa live na Victor Monday.
“Hata kama miti isipochanua maua, wala mizabibu kuzaa zabibu; hata kama mizeituni isipozaa zeituni, na mashamba yasipotoa chakula; hata kama kondoo wakitoweka zizini, na mifugo kukosekana mazizini, mimi nitaendelea kumfurahia Mwenyezi-Mungu nitamshangilia Mungu anayeniokoa. Bwana, Mwenyezi-Mungu ndiye nguvu yangu, huiimarisha miguu yangu kama ya paa, huniwezesha kupita juu milimani.” – Habakuki 3:17-19
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utakubariki kwa namna ya pekee, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni