Kutoka mjini Njombe leo tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya katika huduma ya muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la AKY Banguliny na huu ni wimbo wake mpya uitwao Hutazami Sura.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika utakubariki, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni