Baada ya kufanya vizuri mwezi Februari kupitia video ya wimbo uitwao
Ni Yesu Tu kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili anaye
endelea kufanya vizuri nchini Tanzania Leah Mouddy ameachia video ya
wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Hitaji Langu.
Video hii imeongozwa na Director Chriss na muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Kingson.Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukuinua kila siku, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni