Kutoka nchini Zambia kwa mara ya kwanza tumekusogezea wimbo
unaokwenda kwa jina la Take Me Deeper ulioimbwa na mwimbaji Taonga akiwa
amemshirikisha Keisha.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen.
Video kutoka kwa mtumishi wa mungu Paul Clement itwayo Wageni Barikiwa kuitazama sasa hapa
About Gospel Sharom
Kanuti Mmbaga Smart is a Social Media Strategist & a Minister Of The Gospel! I'm also a widely online publisher, leading the revolution in Gospel Media #KingdomBlogger
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni