Breaking

Jumatano, 9 Januari 2019

Audio | Christina Shusho – Nimehesabu

Kutoka kwa mkongwe wa nyimbo za Injili Afrika Mashariki na kati Christina Shusho leo amaeachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Nimehesabu.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa kila wakati, Amen.

Social Media:
Facebook: Christina Shusho
Instagram: @christinashusho
Youtube: Christina Shusho

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni