Breaking

Jumamosi, 2 Februari 2019

Video | Mr Seed – Dundaa

Moja kati ya waimbaji waliofanya vizuri mwaka 2018 nchini Kenya hutaacha kumuweka kwenye listi bora kabisa huyu hapa mwimbaji Mr Seed ambaye kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Dundaa.

Video hii imeongozwa na director Rahim, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa  chini ya mikono ya prodyuza Paulo akishirikiana na Shallzbaro.
Ni hakika kuwa utabarikiwa na video ya wimbo huu kila wakati utakapokuwa unatazama na kusikiliza, Kwa moyo tunakukaribisha, Amen.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni