Breaking

Jumamosi, 2 Februari 2019

Video | Mary Nasson – Unanitosha

Baada ya kuachia video ya wimbo Damu Imenisafisha kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Mary Nasson ameachia video ya wimbo wake mzuri wa kuabudu uitwao Unanitosha.

Video hii imeongozwa na director Amigo Johnson, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Fresters Records.
Ni hakika kuwa utabarikiwa na video ya wimbo huu kila wakati utakapokuwa unatazama na kusikiliza, Kwa moyo tunakukaribisha, Amen.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni