Kutoka nchini Kenya leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Nyota kutoka kwa mwimbaji wa mahiri wa nyimbo wa za Injili maarufu kama Bahati. Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni