Breaking

Ijumaa, 18 Januari 2019

Video | Sinach – Give Thanks

Kutoka kwa mkali wa nyimbo za Injili Afrika maarufu kama Sinach kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia wimbo wake mpya uitwao Give Thanks.

Jifunze, uimbe, na kumshukuru Mungu kwa upendeleo, neema, kwa maisha yasiyo ya kawaida, Upendo wake, ustawi, utajiri, mambo mengi ya ajabu na kazi zake za ajabu katika maisha yako!
“shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” – 1 Wathesalonike 5:18

Social Media
Facebook: Sinach
Instagram: @therealsinach

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni