Baada ya kufanya vizuri mwaka 2018 kupitia nyimbo kadhaa alizoziachia ikiwa pamoja na ile iitwayo Nakupenda na Emmanuel, Kwa mara nyingine tena katika
mwaka 2019 mwimbaji Ben William kutoka jijini Mwanza ametusogezea wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Wa Moyo, Muziki huu ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Apex Music.
mwaka 2019 mwimbaji Ben William kutoka jijini Mwanza ametusogezea wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Wa Moyo, Muziki huu ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Apex Music.
“Wamuabuduo Bwana imewapasa kumuabudu katika Roho na Kweli, Neno la Mungu linasema usipomsifu Mungu atainua hata mawe ili yamsifu, kwanini kusubiri mawe yamsifu Mungu wakati wewe upo hai…. Imba wimbo huu kwa kumaanisha na hakika sifa zako zitafika mbele za Mungu na tarajia kubarikiwa kwa namna ya kipekee sana….. tafakari ni mambo mangapi Mungu amekufanyia bila kusahau Mungu anakaa katika sifa.” – alisema Ben
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni