Kutoka jijini Dar es salaam leo tumekusogezea wimbo unaokwenda kwa jina la Mji wa Daudi kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahmika kwa jina la Edwin Mrope.
Akizungumza na gospomedia.com Edwin Mrope alisema Mji wa Daudi ni wimbo aliouachia rasmi kama zawadi ya kuwatakia heri ya Krismas na Mwaka mpya watu wote duniani.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni