Yatapita ni wimbo unaompa mtu matumaini mapya juu ya mapito anayopita bila kujali ni kiasi amekuwa akiteseka katika mapito hayo, Matumaini yetu yabaki kwa Mungu tu kwakuwa haya yote ni ya muda tu hakuna linalodumu milele.
“Wimbo huu Una ujumbe wakutia Moyo kwa yule aliye Kata tamaa akizani hakuna tena tumaini.. Tumaini lipo na jambo lolote lile ambalo linaonekana gumu yapasa kujua ni la mda tu na lina pita” – alisema Aaron K
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni