Breaking

Alhamisi, 27 Desemba 2018

Audio | Ble-ssed – War

 
Ngosa Mubengwa maarufu kama Ble-ssed ni mwimbaji wa nyimbo za injili kwa mtindo wa rap kutoka nchini Zambia na leo tunautambulisha kwako wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la WAR.

Mbali na kufanya rap Ble-ssed ni moja kati ya waimbaji wenye vipaji vingi kama uandishi wa nyimbo na uigizaji.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na ni imani yetu kuwa utakubariki, Amen.
https://fanburst.com/batazatown/mutale-chisanga-beautiful/download

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni