Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza leo tumekusogezea video nzuri na iliyobeba ujumbe wa pekee inayokwenda kwa jina la Ayubu kutoka kwa
mwimbaji na mhubiri anayefahamika kwa jina la Erick Kisindja mwenye asili ya nchini Kongo hapa akiwa amemshirikika mwanadada mwenye sauti ya pekee kutoka nchini Tanzania maarufu kama Natasha Lisimo.
mwimbaji na mhubiri anayefahamika kwa jina la Erick Kisindja mwenye asili ya nchini Kongo hapa akiwa amemshirikika mwanadada mwenye sauti ya pekee kutoka nchini Tanzania maarufu kama Natasha Lisimo.
Video hii imeongozwa na Rehoboth pictures, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Mujwahuki.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii iliyobeba ujumbe mzito na hakika utajifunza na kuweka jambo jipya ndani yako, Amen
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni