Baada ya kimya kirefu toka alipoachia wimbo wake uitwao Ni Zamu Yako mwaka 2016, Kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Dickson Tamba ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Ni Mungu Tu.
Video hii imeongozwa na director Onesmo kutoka studio za OCB IMAGEZ LAB.
Akijiandaa kuachia video ya wimbo wake uliobeba albam siku ile ya jumatatu ya tar 14 mwezi huu wa pili wimbo unaokwenda kwa jina la Usizoee Ibada.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii ambayo ni hakika itakubariki, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni