Breaking

Alhamisi, 27 Desemba 2018

Video | Walter Chilambo – Merry Chrismas


Kutoka katika lebo ya PL Studios kwa mara nyingine tena tumekusogezea zawadi ya Krismasi kutoka kwa mtumishi wa Mungu Walter Chilambo.
Video hii imeongozwa na director Chuma, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Perfect Light Studios.



“Ni miaka 2018 sasa tangu Yesu alipozaliwa katika mji wa Bethelehem, leo tun azimisha kuzaliwa kwake mwokozi wetu, furahia pamoja na mtumishi wako Walter katika wimbo huu.

Asante kwa kuipokea Baraka hii na nikutakie heri ya #ChristMass na #MwakaMpya ukawe wa Baraka kwako na familia yako, Nakupenda sana na Mungu akubariki kwa kutazama na kusambaza habari njema za kuzaliwa Bwana wetu mwokozi Yesu Kristo.” –  alisema Walter Chilambo
Kwa moyo mkunujufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki katika msimu huu wa Krismasi, Barikiwa!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni