Breaking

Ijumaa, 28 Desemba 2018

Brother Nicolaus Suguye Crossove night 2018 $ 2019



Ninayo FURAHA kubwa kukutangazia MKESHA mkubwa wa kufunga mwaka 2018
kuingia 2019 kwa kishindo kikubwa.Tayari kuna neno la BWANA kwaajili yako mwaka 2019 hii si ya kukosa!!! .

Sasa wewe mwanangu kuwa mwinjilisti mwema wa BWANA kwa kushare na kuchua tangazo hili na kulifanya Profile picture kwenye kila mtandao wa kijamii unaotumia Pia iwe ni FACEBOOK ama INSTAGRAM post tangazo hili mara nyingi uwezavyo ukitumia hashtag ya #vukamwakakinabii ama unitag nitakuja kucomment!!! . .

Kwakufanya hivyo watu wengi wataokolewa na kubarikiwa kupitia wewe na MUNGU  wangu wa mbinguni atakubariki pia.. LETS DO THIS SONS...... #vukamwakakinabii -Brother Nicolaus Suguye

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni