Breaking

Jumanne, 5 Februari 2019

Video | Eunice Kemunto – Like Jesus

Akiwa anaendelea kufanya vizuri na video ya wimbo uitwao Mipango Yako mwimbaji wa nyimbo za Injili Eunice Kemunto ameachia tena na video yake mpya inayokwenda kwa jina la Like Jesus, 

Wimbo huu ukiwa ni moja kati ya wimbo utakaopatikana kwenye albamu yake iitwayo Mipango yako inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni.
Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Eunice Kemunto kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 7809 010 912
Facebook: Eunice Kemunto
Instagram: @kemunto_eunice

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni