Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena kundi la kusifu na kuabudu Essence of Worship wametusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Wewe Ni Mungu wakiwa wamemshirikisha mkali Eliya Mwantondo.
“It’s a worship song that speaks about the greatness of God. We thank God for giving us this melody. Be blessed as You Watch This video.” – Essence of Worship
Wewe Ni Mungu ni moja kati nyimbo inayopatikana kwenye albamu yao mpya inayoitwa BWANA UNATAWALA ikiwa katika mfumo wa Live DVD na Audio CD.
Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni